Siku ya wafanyikazi
Siku ya wafanyikazi ulimwenguni imewadia. Tarehe mosi mwezi wa tano viongozi watapiga kelele kama ilivyokuwa jadi.
Wafanyikazi bado wanabaguliwa kwa kupewa marupurupu tofauti, au kuwa na mishahara midogo huku wengine wakinyanyaswa hata kijinsia. Mazingira ya kazi bado ni duni.
Je, viongozi, au serikali wametimiza walioahidi mwaka jana?
* Picha imepigwa na Natall news