Sunday, May 10, 2009

Mkenya daima

Wakati umefika pale ambapo wakenya wanafaa kuelewa kila kitu kuhusu uendeshaji serikali na haki zao. Wakenya wafaa kuhusishwa moja kwa moja kwa sababu sio wanasiasa ndio wanaofaa kuwaamulia.

Hebu tafakari, wanasiasa walisema wamatuwakilisha; Je, wanapopata rushwa, wanatuwakilisha? Wanapolala bungeni je?

Si dhani kuna nia ya kuchagua yeyote asiyeshughulikia matakwa ya raia.

Mkenya daima.

0 Comments:

Post a Comment

Subscribe to Post Comments [Atom]

<< Home